Mmoja wa wanakamati wa mabadiliko ya tabia nchi ya kijiji cha Kitonga akiwa amepozi kwenye mti wa mwembe
Mkurugenzi wa TCMP Pwani, Baraka Kalangahe akionyeshwa na wanakamati maendeleo ya shamba darasa la jinsi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi
Leo asubuhi Mkurugenzi wa TCMP Pwani, Baraka Kalangahe pamoja na timu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi walitembelea Shamba Darasa la Miembe katika kijiji cha Kitonga, Bagamoyo kaungalia maendeleo la shamba hilo lililoanzishwa kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi
No comments:
Post a Comment