Mabadiliko ya tabia nchi yamekuwa na athari hata kwa mazao ambayo hapo kabla yalistawi vizuri katika mazingira ya Pwani Yetu. Njia bora ya kukabiliana na hali hii ni kupanda mazao mbadala. Picha hapo juu inamuonyesha Dk. Shayo wa Ofisi ya Makamu wa Rais akiangalia mwembe uliopandwa katika shamba linaloendeshwa na kamati ya mabadiliko ya tabia nchi ya kijiji cha Kitonga, Bagamoyo, kama njia ya kukabiliana na mabadiliko kwa kupanda mazao mbadala.
No comments:
Post a Comment