Kazi ikiendelea katika Studio ya Redio Pangani FM inayomilikiwa na shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA). Shirika hili ni miongoni mwa Washirika wakuu wa Ushirika wa Kusimamia Mazingira na Rasilimali za Pwani na Bahari ambao hurusha baadhi ya vipindi vyake vya mazingira katika redio hiyo
No comments:
Post a Comment