Mradi wa TCMP-Pwani unahamasisha matumizi ya dhana ya uzazi wa mpango na ujasiriamali katika kutunza mazingira. Pciha ya kwanza ikimuonyesha kijana akiwa amevaa fulana inayohamasisha uzazi wa mpango. Picha za chini zinaonyesha wanakijiji wa Sakura-Kwakiubuyu wilaya Pangani wakiwa katika biashara zao ndogondogo ambazo zinawafanya kuondokana na shughuli za uharibifu wa mazingira. Wajasiriamali hawa wamepata mikopo kutoka Chama cha Kuweka na Kukopa (SACCOS) cha Songambele.
No comments:
Post a Comment