Buyuni ni moja ya vijiji vilivyoathirika kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya tabia nchi katika mwambao wa Bahari ya Hindi nchini Tanzania. Hali hiyo imefanya baadhi ya wanakijiji kuyahama makazi yao kutokana na maji ya bahari kuvamia makazi hayo. Picha zinaonyesha kijiji cha Buyuni kilichopo wilayani Pangani kama zilivyonaswa na mwandishi wa TCMP-Pwani leo asubuhi.
No comments:
Post a Comment