Thursday, February 23, 2012

Shamba la Miembe la Majaribio


Mwembe wa kwanza kutoa maua


Mmoja wa wanakamati wa mabadiliko ya tabia nchi ya kijiji cha Kitonga akiwa amepozi kwenye mti wa mwembe

Na huu mwembe nao unapendeza!


Mkurugenzi wa TCMP Pwani, Baraka Kalangahe akionyeshwa na wanakamati maendeleo ya shamba darasa la jinsi ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi


Wanakamati wakiwa chini ya mti pamoja na timu kutoka TCMP Pwani




Mkurugenzi pamoja na wafanyakazi wengine wa TCMP Pwani walitembelea shamba zima.


Majumuisho ya ziara ya ufuatiliaji yalifanyika ofisini kwa Mkurugenzi wa TCMP Pwani, mjini Bagamoyo
Leo asubuhi Mkurugenzi wa TCMP Pwani, Baraka Kalangahe pamoja na timu ya Mabadiliko ya Tabia Nchi  walitembelea Shamba Darasa la Miembe katika kijiji cha Kitonga, Bagamoyo kaungalia maendeleo la shamba hilo lililoanzishwa kwa lengo la kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi

Monday, February 20, 2012

Uzinduzi wa Chukua Pipi

Kila mtu anatamani kupanda juu ya mti


Washiriki katika uzinduzi wa filamu ya Chukua Pipi ya shirika la Uzima kwa Sanaa (UZIKWASA) la mjini Pangani, Tanga, wakiwa juu ya miti ili kufuatilia kila linaloendelea katika uzinduzi huo uliofanyika mwaka jana.

Wednesday, February 8, 2012

Wageni Kutoka Ghana


Kuelekea Kisiwa cha Bongoyo

Kisiwani Bongoyo

Ofisi ya Marine Parks and Reserves

Mlingotini, Bagamoyo

Mapango ya Amboni, Tanga

Kazi nzuri huigwa. Wageni kutoka maeneo mbalimbali ya mwambao nchini Ghana walifanya ziara ya mafunzo ya jinsi Tanzania inavyohifadhi mazingira na rasilimali za Pwani. TCMP ilikuwa mwenyeji wa ugeni huo.