Kuunga mkono au kuanzisha miradi mbadala ya kuwaingizia kipato wakazi wa maeneo ya mwambao wa pwani ni moja ya mfumo unaotumiwa na mradi wa TCMP Pwani ili kuifanya Pwani Yetu kuwa endelevu kwa kupunguza utegemezi wa kupindukia katika rasilimali za bahari.
No comments:
Post a Comment