Watoaji Huduma za Uzazi wa Mpango (CBDs) katika jamii wana mchango mkubwa wa kupeleka huduma za afya na uzazi wa mpango karibu zaidi na jamii wanamoishi. Mmoja wa watoaji huduma hizo akiwa dukani kwake ambalo pia hutumika kama duka la kuuza kondomu katika kijiji cha Kwakibuyu/Sakura wilayani Pangani.